Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Kilkimo (IITA) yenye Makao Makuu nchini KongoDk.Nteranya Sangiinga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar na ujumbe wake jana
l
Mkurugenzi wa Taasisi  ya Kimataifa  ya Utafiti wa Kilkimo (IITA) yenye Makao Makuu nchini Kongo Dk.Nteranya Sangiinga,(aliyesimama) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati wa mazungumzo akiwa na  Ujumbe wake  Ikulu Mjini  Zanzibar jana.