DIDDY AWAZIDI JAY Z NA DR. DRE UTAJIRI

combs8
Jarida la Forbes limedondosha nakala mpya sokoni ndani yake kukiwa na orodha ya wasanii wa 5 wa mziki wa HipHop mwaka 2013 wenye kumiliki utajiri wa mali na mkwanja mrefu this time Diddy akiwa namba moja.
dr-dre1-608x415
Utakumbuka kuwa mwaka jana Dr.dree alishika nafasi ya kwanza huku swaiba wake Jay z akitupwa nje ya kumi bora. Rapper 50 cent ambae mwaka uliopita hakuwemo kabisa kwenye 25 bora mwaka huu ameingia kwenye 5 bora akimiliki dola milioni 150.
jay z
Diddy ambae kwasasa hayumo sana front kwenye mziki anamiliki kiasi cha dola milioni 580 ambazo zinamfanya kuwa kwenye nafsi kwanza ikiaminika kuwa zinatokana na biashara yake ya Ciroc vodka.
Gonga continue reading kuendelea..

Rapper Jay z ambae ni wa pili kwenye hii orodha ametajwa kuwa na utajiri wa kiasi cha dola milioni 475 ambazo zinamweka kwenye nafasi ya 2 ikiaminika kuwa inachangiwa na uwekezaji wake kwenye biashara kibao kama vile Roc Nation record label, Carol’s Daughter beauty products, the Brooklyn Nets basketball team na hata the Barclays Center.

Adha partnership yake na kampuni ya Duracell batteries, Budweiser beer na zaidi jinsi alivyokula shavu la sili ya kuwa Bacardi’s D’ussé Cognac further sweetened the pot mwaka huu.
Ambae anashika nafasi ya 3 ni Dr Dree akitajwa kuwa na utajiri wa kaisi cha dola milioni 350 ambazo zinachangiwa na product yake iliyokubalika sana ya Beats by Dr. Dre headphones.
birdman
Rapper Birdman anafuatia kwenye nafasi ya 4 akitajwa kuwa na utajiri wa dola milioni 150 unaotokana na Young Money Cash Money label ambayo nadani kuna vichwa hatari kama Drake, Nicki Minaj, Lil Wayne, na zaidi ni jinsi alivyowekeza kwenye biashara ya Grand Touring vodka.
50cent500x413
Believe it or not anaeshika nafasi ya top 5 ni Rapper 50cent ambae anatajwa kuwa na dola milioni 125 ambazo zinatokana na biashara zake kibao ikiwemo kuuza mziki wake, merchandise, video games, kuuza vitabu I guess unafahamu anakitabu kipya kinachofundisha kuhusu guides za mazoezi alafu kuna mkwanja mrefu pia ambao anaingiza kutokana na kinywaji chake cha Vitaminwater.
Previous Post Next Post