Rais Uhuru, Naibu Rais Ruto wakiwa na Raila Odinga na Kalonzo Musyoka, Ikulu

Uhuru, Ruto, Raila, Kalonzo katika Ikulu ya Nairobi leo, Aprili 13, 2013.


RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta na na Naibu wake William Ruto, leo wamekutana na kushauriana na wakuu wa chama cha CORD Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waliowatembelea Ikulu Nairobi kuwatakia heri.







Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA