ZIARA YA RAIS DK. SHEIN MKOA KASKAZINI PEMBA,


IMG_7880a
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akikaribishwa na Mwakilishi wa Jimbo la Ole Hamad Masoud Hamad,alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Ole kufungua madarasa mapya ya kusomea katika Skuli ya Msingi Ole,akiwa katika ziara ya kuangalia maendelea ya miradi mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_7883a

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mawaziri wa Wizara mbali mbali
alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Ole kufungua madarasa mapya ya
kusomea katika Skuli ya Msingi Ole,akiwa katika ziara ya kuangalia
maendelea ya miradi mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. [Picha
na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_7888a

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kufungua madarasa mapya kusomea ya
Skuli ya Msingi ya Ole,Jimbo la Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba jana,akiwa
katika ziara ya kikazi katika Mkoa huo,(kushoto) Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_7891a 

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma
Shamuhuna,(katikati) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipofungua madarasa mapya
kusomea ya Skuli ya Msingi ya Ole,Jimbo la Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba
jana,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa huo. [Picha na Ramadhan
 IMG_7896a

Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Ole,Jimbo la
Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza
nao baada ya kufungua madarasa mapya ya kusomea Skulini hapo
jana,akiwa katika ziara ya kikazi ndani ya Mkoa huo. [Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_7925a

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi wa Konde wilaya ya Wete,
jana alipotembelea barabara ya Konde-Wete,inayojengwa na kampuni ya
LEA Associates South AsiaPvt.Ltd,chini ya ufadhili wa shirika la MCC
la Marekani,akiwa katika ziara ya kikazi Mkoa wa Kaskazini
Pemba.
Previous Post Next Post