WEMA SEPETU AMILIKI GARI YA KIFAHARI NA KUAMUA KUITUMIA KATIKA MOVIE YAKE MPYA ! CHEKI ALIVYOLIANDIKA KWA MBELE!



 Kwenye movie mpya ambayo itakua ya kwake ya pili kuigiza baada ya Super Star iliyozinduliwa na Omotola Jalade wa Nigeria, movie star wa Tanzania Wema Sepetu ataigiza na kutumia jina la Doris na hili gari ambalo ni moja ya anayoyamiliki kwenye maisha halisi, litatumika.


 


Hizi ni Exclusive pictures kutoka Nyumbani kwa Wema Sepetu


.

Sebleni kwake kama panavyoonekana, ameitumia pia nyumba yake kwenye hii movie mpya… hapa ilikua maandalizi ya kuendelea kushoot.
Previous Post Next Post