Watumishi Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa
katika picha ya pamoja nje ya ofisi za wizara hiyo kabla ya kuanza
maandamano kuelekea katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe
jijini Dar es Salaam. Aliyevaa koti mbele ni Mkurugenzi wa Utawala na
Rasilimali Watu wa wizara hiyo, Lilian Mapfa.