Evelyn Mkokoi
12/3/2013
Uongozi wa Hotel ya Malaika beach Resort, umetakiwa kufanya ukaguzi wa mazingira katika eneo la
hotel hiyo na kuto repoti ili kuweza kuhepaukana na uharifu wa mazingira utiririshaji wa maji taka,katika
ziwa Victoria.

Hayo yameelewa leo na naibu waziri ofisi ya makamu wa rais mh. Charles Kitwanga alipotembelea
baadhi ya hotel na viwanda vilivyopo katika wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, ili kujione hali halisi ya
utunzani wa mazingira.

Alipotembelea kiwanda cha Nondo cha Nyakato steel, Mh. Kitwana aliwaasa wamiliki wa kiwanda hicho
kutumia njia za kisasa za kuweza kuhepuka kutoa moshi mzito ambao umekuwa ukilalamikiwa na wakazi
wa maeno hayo kuwa nyakati za usiku moshi huo huaribu mandhari na hali ya hewa na kuhatarisha afya
za wakazi wa karibu na eneo hilo.

Aidha wamiliki wa kiwanda hicho pia wameshauriwa,kuwajali wafanyakazi wao kwa kuwapatia
vifaa vya usalama kazini ikiwa ni gloves pamoja na mabuti kutokana mazingira wanayofanyia kazi na
kutokuziweka afya zao katika mazingira hatarishi.

Alipotembelea kiwanda cha nguo cha Mwanza MWATEX, Mh. Naibu Waziri hakuridhiswa sana na
mfumo wa kiwanda hicho wa utoaji wa maji taka na kuwashauri wamiliki wa kiwanda hicho kufanya
tena ukaguzi wa mazingira na kurekebisha upya njia za kiwanda hicho za utoaji wa maji taka.

Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Ilemela Bi Amina Masenza ameeleza kuwa katika suala zima la
utunzaji wa mazingira wilaya yake inakumbana na changamoto mbali mbali ikiwa ni pamoja na ukosefu
wa vifaa vya kitaala vya kufanyia tathimni ya athari za mazingira katika sehemu za kazi na kuongeza kwa
gharama za kufanya uchunguzi wa sampuli za maji taka zitokazo viwandani ziko juu.