VODACOM WATOA MIKOPO ISIYO NA RIBA


  Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (  wa pili kulia) akimkabidhi  fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio,Aziza  Maiga  kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika  Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika  kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa  Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.

  Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (  wa pili kulia) akimkabidhi  fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio, Nuru Njovu , kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika  Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika  kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa  Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.
  Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (  wa pili kulia) akimkabidhi  fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio,Ashura Nampe Nampeja  kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika  Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika  kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa  Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.

  Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (  wa pili kulia) akimkabidhi  fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio,Sara Kiswiri kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika  Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika  kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa  Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.
  Wasanii wa vikundi vya utamaduni wakitoa burudani  wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wa M-pesa  Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam.
  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto Ummy Mwalimu (kushoto) na msanii Mrisho Mpoto wakifurahi na wananwake wajasiriamali wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka  Vodacom Tanzania kupitia mradi wa  M-pesa  Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam .
Wasanii wa vikundi vya utamaduni wakitoa burudani  wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wa M-pesa  Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam.
Ofisa wa Vodacom Foundation Ali Mbuyu akiwahakiki Wanawake Wajasiriamali  wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka Vodacom Tanzania  kupitia mradi wa M-pesa  Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam Jumamosi.
Previous Post Next Post