Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Taarifa ya ujenzi wa kituo cha Afya
Tasini Kiwani kutoka kwa Mwalimu Abdalla Juma Mustafa, baada ya
kukagua maendeleo ya Ujenzi wa kituo hicho,akiwa katika ziara ya
Wilaya ya Mkoani Pemba jana.
Wananchi wa Tasini Kiwani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipofika
kuwasalimia baada ya kukagua maendeleo ya Ujenzi wa barabara ya
vijiji hivyo akiwa katika ziara ya Wilaya ya Mkoani Pemba jana.[Picha
Baadhi ya wanafunzi na Wazee wa wakimsikiliza Rais wa wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza nao alipokagua ujenzi wa kituocha Afya na
barabara ya Tasini Kiwani ,akiwa katika ziara ya Wilaya ya Mkoani
Pemba jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto) na Viongozi wengine wakiitikia
dua baada ya kukamilika kwa harambeee aliyoiitisha kuchangia ujenzi wa
Kituocha Afya Tasini Kiwani Wilaya ya Mkoani Pemba,akiwa katika ziara
ya kikazi ndani ya Mkoa huo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) alipofika kukagua wagonjwa
akianza na Mzee Hassan Kombo,aliyepata ajali ya vespa akiwa katika
Hospitali ya Mkoani Pemba,katika ziara ya kikazi ndani ya Mkoa huo.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipofika kukagua wagonjwa
katika Hospitali ya Abdalla Mzee,Mkoani Pemba,pichani Dk.
Shein,akimuangalia Mtoto Husna Mohamed Kombo,(kichanga) akiwa na Mama
yake Riziki Haji,mtoto huyo anasumbuliwa na kitovu,Rais akiwa
kisiwani Pemba kwa Ziara ya kikazi ndani ya Mkoa wa Kusini . [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto) akipatra maelezo
Kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Salum Maulid, (Kibanzi) alipotembelea matengenezo
makubwa ya Ikulu Ndogo ya Mkoani Pemba,alipokuwa katika ziara ya Mkoa
wa Kusini Pemba jana. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]