
Ametangaza kukubali kushindwa,amewapongeza wanachama wa muungano wao waliochaguliwa ,na ameomba Raila Na Uhuru wafanye kila kinachowezekana kutunza amani na utulivu na kujizuia kutoa kauli zinazoweza kuleta utata.na ametoa wito maalumu kwa tume ya uchaguzi kutofanya kitu chochote kitakacholeta mkanganyiko.