MKURUGENZI IRINGA AWAASA WAJASIRIAMALI


0000000xx00000 c5a03
Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Iringa Theresia Mahongo akizungumza na mjasiriamali ambaye ni mlemavu Mariam Said katikati baada ya kumaliza kuongea na wajasiriamali katika ukumbi wa veta iringa. kulia ni mkurugenzi wa veta nyanda za juu Monica Mbelle, afisa mikopo wa sido neserian Laizer na kaimu mkuu wa chuo cha veta charles  kimbira.

00000000xxx00000 fe4ce
Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Iringa Theresia Mahongo (mwenye mawani)akiwa katika picha ya pamoja na wajasiriamali mbalimbali wa wa halmashauri manispaa ya iringa na baadhi ya uongozi wa chuo cha veta iringa
Previous Post Next Post

Popular Items