Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa ametoa pole nyumbani mwa mjumbe wa baraza kuu la Umoja wa Vijana CCM Benson Mollel aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha jana hotelini jijini Arusha.
Mh Lowassa akiwapa pole baadhi ya ndugu na jamaa wa marehemu Benson Mollel
Mh Lowassa akiwapa pole baadhi ya ndugu na jamaa wa marehemu Benson Mollel
Mh Lowassa akiwa na mwenyekiti wa CCM Monduli(kulia) Ruben Kunei na mjumbe wa halmashauri kuu taifa NEC (kushoto) Mathias Manga
Mh Lowassa akitoa pole kwa mama mzazi wa Mollel nyumbani kwao Daraja Mbili Arusha