Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Tanzania,Bw.Benjamin Michael akiongea kwenye simu na mmoja wa washindi aliejishindia shilingi Milioni 5 katika Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo,katikati Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu na Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Bw. Abdallah Hemedy,ambapo wakazi ya jijini Dar es Salaam Bw.Ramadhan Kibanike(62)na Bi.Maselina Apolinali wamejinyakulia kitita cha shilingi Milioni tano tano kila mmoja.Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu (katikati)akiwasiliana na Bi.Maselina Apolina,mkazi wa jijini Dar es Salaam ukonga magereza alieibuka mshindi wa kitita cha shilingi Milioni tano katika Promosheni ya"MAHELA"inayoendelea kuchezeshwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom,zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa,wanaoshuhudia kushoto ni Meneja wa huduma za ziada wa kampuni hiyo,Bw.Benjamin Michaelna kulia ni Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Abdallah Hemedy.
Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Tanzania,Bw.Benjamin Michael akiongea na waandishi wakati wa kuchezesha droo ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo ambapo wakazi ya jijini Dar es Salaam Bw.Ramadhan Kibanike(62)na Bi.Maselina Apolinali wamejinyakulia kitita cha shilingi Milioni tano tano kila mmoja.Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa katika promosheni hiyo,wanaoshuhudia kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu na kulia ni Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Bw. Abdallah Hemed,.