
Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF ambaye pia ni Waziri wa Afya Juma Duni Haji,akiwasalimia wananchi wa jimbo la Magogo,katika Mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magogoni jana machi 07/2013.

Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF ambaye pia ni Waziri wa Afya Juma Duni Haji,akihutubia wananchi waliofika katika Mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magogoni jana. 

Wananchi mbali mbali wakimsikiliza Haji Duni (hayupo pichani)akiwahutubia,huko katika viwanja cha Magogoni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. 

Baadhi ya Viongozi wa CUF wakimsikiliza Haji Duni alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Magogoni.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.