
“Hustle must continue…. Oil business tinz….. No time.” ndio maneno kutoka kwa brothers wanaounda kundi la P Square, na hii ni pamoja na picha ambazo unaona hapa, ushahidi wa awalia ambao unathibitisha hatua ya wasanii hawa kujiingiza rasmi katika biashara ya mafuta ambayo ndiyo hufanywa na matajiri wengi Naijeria.

Kundi hili lenye mafanikio makubwa kabisa Afrika kwa sasa, linapiga hatua nyingine kubwa zaidi katika maendeleo yao kama wanamuziki na wajasiriamali.


Hii nikupitia ukurasa wa twitter wa Peter Okoye ambaye pia amewafahamisha mafans kuwa, Ijumaa hii tarehe 15, P Square watakuwa Malawi kudondosha Boooooonge moja la show.