Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Aggrey Mwanri akiwakilisha hati mezani kuhusu Taarifa ya Mwaka na Hesabu zilizokaguliwa na Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha,2010/2011. (picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Baadhi ya Maafisa Habari Mawasiliano Serikalini wakielekea katika Ukumbi wa Mkutano wa Bunge leo Dodoma. Maafisa hao wamefanya ziara Bungeni hapo ili kuona shughuli za Bunge,(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)
Baadhi ya Maafisa Habari Mawasiliano Serikalini wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.
Baadhi ya Maafisa Habari Mawasiliano Serikalini wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.