WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MAJI SAFI NA SALAMA MJINI ARUSHA



Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na anajadiliana jambo wageni waliohudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu maji salama na safi. Kushoto ni Profesa Shem Wandiga kutoka chuo kikuu cha Nairobi na katikati ni Mkurugenzi wa Maji safi na salama Duniani Profesa Benito Marinas kutoka chuo kikuu cha ILLINOIS nchini Marekani mkutano huo wa siku tatu unafanyika mjini Arusha.( Picha na Chris Mfinanga).

Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anajadiliana jambo na Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mandela Profesa Burton Mwamila pamoja na Mkurugenzi mkuu wa maji safi na salama  Profesa Benito Marinas kutoka chuo kikuu cha ILLINOIS kilichopo nchini Marekani.

Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo.

Previous Post Next Post