
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akionyeshwa Mfumo wa Maji Taka na Meneja Mazingira Bw. Dominick Mariki wakati Waziri alipofanya Ziara ya Kutembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti Breweriers cha Jijini Dar es Salaam kuangalia mazingira katika Mtaa wa Chamwenyewe Chango’mbe jijini Dar es salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akimsikiliza Bi. Mwaka Washokela kuhusu hali ya mazingira katika Kiwanda cha Bia cha Seregeti Mtaa wa
Chamwenyewe, Changmbe Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Terezya Huvisa akimsikiliza Operesheni Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti Shekhor Mokosare, Waziri alifanya Ziara ya kukagua na kuangalia hali ya Mazingira katika Kiwanda cha Bia cha Sereneti cha Jijini Dar es Salaam