
Mama Salma Kikwete akimpa pole Mama Hawa Ghasia huku akilia kwa uchungu kutokana na msiba wababa yake mzazi Abdulrahman Ghasia, jana katika Kijiji cha Naumbu, mkoani Mtwara. (Picha na Bashir Nkoromo)

Mh. Hawa Ghasia akifarijiwa na waombolezaji huku akilia kwa uchungu kutokana na kumpoteza marehemu baba yake mzee Abdurahman Ghasia.
Waombolezaji mbalimbali wakiwa katika msiba huo jana huko katika kijiji cha Naumbu mkoani Mtwara.
Tags:
Social