UJENZI WA BARABARA YA BAGAMOYO-MSATA WAAENDELEA



Ujenzi wa hii barabara naona unakaribia kukamilika, zimebaki sehemu chache ili yote iwe lami.

Ikiwa  unatokea Tanga kwenda Dar es salaam au Bagamoyo unashauriwa kuitumia hii barabara ya Msata Bagamoyo na sio ya Msata Dar es salaam ambayo ina kilomita nyingi zaidi ya hii.








Hivi ni Baazi ya vifaa vya kazi vikiwepo eneo la ujenzi



Previous Post Next Post

Popular Items