Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) Kanda ya Mashariki Eng. Oscar Mwanjesa akikata keki ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake mbele ya wafanyakazi wenzake wa Mamlaka hiyo wakati wa hafla ya Siku ya Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni Dar es Salaam. Watatu kutoka kulia ni Kaim Meneja Mawasliano wa TCRA Semu Mwakyajala.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliaono (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa kusherehekea Siku ya Familia siku ya Fa iliyofanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi eneo la hoteli ya Southen Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliaono (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa na kuku kabla ya kushindaniwa.
Afisa Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasilioano Tanzania TCRA.Doris Saivoyre akianzisha shindano la kukimbiza kuku kwa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo Kanda ya Mashariki wakati wa kusherehekea siku familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni Dar es Salaam.
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kanda ya Mashariki wakishindana kufukuza kuku katika ufukwe wa haoteli ya Southan Beach Kigamboni ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku ya Familia iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Kanda ya Mashariki wakishindana kuvuta Kamba ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kusherehekea siku ya Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Kanda ya Mashariki wakishindana kukumbia na Magunia ikiwa ni sehemuya shamrashamra za kusherehekea siku ya Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.Kanda ya Mashariki wakiwa na Familia zao wakicheza muziki aina ya kwaito ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Kanda ya Mashariki wakiwa na Familia zao wakicheza muziki aina ya kwaito ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.Kanda ya Mashariki wakiwa na Familia zao wakicheza muziki aina ya kwaito ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.