Balozi wa Naigeria hapa nchini Dr Ishaya Majanbu mweyekofia nyekundu akiwa anapata maelezo kutoka kwa meneja wa mradi wa ujenzi wa Dangote Sementi Mkoani Mtwara Eng. D. Musale ya kuhusu maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha sementi cha Dangote kinachojengwa Mkoani Mtwara Balozi huyo ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo alipotembelea mkoani mtwara picha na chris mfinanga
Balozi akiwa anaangalia badhi ya vifaa vilinavyo tumika katika mradi wa ujenzi wa kiwanda hicho cha sementi kunacho jengwa na kampuni ya Dangote ya Nigeria.