SKYLIGHT BAND WARUDI NA MAMBO MAPYA TOKA NCHINI KENYA


Sam Mapenzi na warembo wa SKYLIGHT BAND wakikinukisha kwenye show yao ya Ijumaa iliyopita katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 akiongoza safu ya vijana wa SKYLIGHT BAND kutoa burudani ya ukweli kwa mashabiki wa Band hiyo.
Warembo ambao ni mashabiki wa SKYLIGHT BAND waki show love mbele ya camera yetu.
Wengine wakiwa wamechill kwenye viti huku wakisikiliza burudani ya muziki wa SKYLIGHT BAND.
Mdau wa SKYLIGHT BAND akimtunza Aneth Kushaba AK47 baada ya kukunwa na uimbaji wa binti huyo mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni.
Fans wa SKYLIGHT BAND.
Wadau King Kif, Ngwair na Mwisho Mwampamba walikuwa ndani ya nyumba kula bata na SKYLIGHT BAND.
Binti Khadija aliyekuja kusheherekea siku yake ya kuzaliwa na SKYLIGHT BAND akimtunza Mary Lukas baada ya kukoshwa na uimbaji wake.
Birthday Girl Khadija (kulia) akiparty na mabesti zake kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar wakati SKYLIGHT BAND ikitoa burudani.
Birthday Girl huyo akaamua kushika kiuno kabisa huku akiimba sambamba na Mary Lukas wa SKYLIGHT BAND (hayuko pichani).
Wakaka nao hawakubaki nyuma taratibu…..
Wengine waliendelea kupata upepo mwanana huku wakisikiliza burudani ya SKYLIGHT BAND.
Vijana wakishow love.
Joniko Flower wa SKYLIGHT BAND akiimba na kucheza Twist kwa mashabiki wa Band hiyo huku akisindikizwa na waimbaji wenzake.
Vijana wakisakata Twist……mpaka chini hiyo……ni balaaaaaa…..
Huku nako Birthday Girl Khadija baada ya kuimbiwa wimbo wa ‘Happy birthday to you’ na SKYLIGHT BAND marafiki zake walimwagia vinywaji na kumsiribia icing sugar uso mzima.
Chapa chapa na vinywaji viliishia mwilini.
Hapo sasa twende kazi burudani ya muziki wa SKYLIGHT BAND ilipoteka akili zao.
Ikiwadia zamu ya binti mwenye kipaji cha aina yake Salma Yusuf kuwapagawisha mashabiki wa SKYLIGHT BAND na mduara kama inavyoonekana pichani.
Palikuwa hapatoshi.
Mrembo all the way from UK kaja nchini kwenye harusi (katikati) naye alikuja kujionea raha za SKYLIGHT BAND, pichani akimlisha cake best yake wa siku nyingi King Kif.
Herry Nasser wa PACO DECOR akishow love na rafiki yake.
Couples iliyobamba usiku wa SKYLIGHT BAND kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.

Previous Post Next Post

Popular Items

Wajue Wanamuziki 10 Matajir Africa

AS CANNES YAMWAGIA SIFA KAPOMBE