Mara Nyingi tunaona wasanii wakiwa na Sare za jeshi kwenye kazi zao tofauti hapa Tanzania. Mfano Kwenye majukwa ya matamasha tofauti na kwenye Video zao. Kupitia sammisago.com napenda kukufahamisha kuwa Leo Bungeni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mh.Shamsi Vuai Nahodha Alisema Ni Marufuku Kwa Wasanii Tanzania Kuvaa Sare zinazo fanana na sare za Jeshi Kwenye Kazi Zao Na kwa sasa serikali inawasaka watu wanaofanya vitendo hivyo, Wakikamatwa watachukuliwa hatua za Kisheria .
Mskilize Hapa
news from sammisago.com