HAKUNA KITU KAMA ILLUMINATI NI UVUMI TU ASEMA RUSSELL SIMMONS



Mtayarishaji wa mapigo ya muziki aliyefanikiwa sana anafahamika kama Russell Simmons anasema kuna uwezekano mkubwa hakuna kitu kama Illuminati, Watu wanaosema hivyo ni watu wasiopenda kujishuhulisha wawapo tu ndo maana wanaanzisha stories zisizo na mpango, Akimuongelea Beyonce na uvumi uliopo kwamba yeye na Bwana ake Hov. Jay- Z kwamba ni Illuminat amesema hakuna kitu kama hicho ila wanafanya vitu tofauti special extra miles vinakuwa vinapendwa ndo maana watu wanaona labda kuna kitu cha ziada wanajihusisha navyo lakini hakuna kitu kama Illuminati, Alisema hayo kupitia mtandao wa TMZ.
Previous Post Next Post