Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Jumuiya ya Wawekezaji katika sekata za Utalii, (ZATI) pamoja na jumuiya ya Makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) Ikulu Mjini Zanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wawekezaji , (ZATI) Abdulswamad Said Ahmed,baada ya mazungumzo na Bodi ya Wakurugenzi wa Wawekezaji katika sekta ya Utalii,pamoja na jumuiya ya makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) Ikulu Mjini Zanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wawekezaji , (ZATI)
Abdulswamad Said Ahmed,akitoa Ripoti ya Bodi ya Wakurugenzi wa
Wawekezaji katika sekta ya Utalii,pamoja na jumuiya ya Makampuni ya
Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) kwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Ikulu Mjini
Zanzibar,(kushoto) Mjumbe wa Bodi Bobby Myenna. {Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.}