RAISI KIKWETE AUDHURIA MKUTANO WA SADC MSUMBIJI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji katika Ikulu ya jijini Maputo jana.Rais Kikwete yupo nchini Msumbiji kuhudhuria kikao cha viongozi wa jumuiya ya uchumi kusini mwa Afrika SADC.(picha na Freddy Maro).

 

Previous Post Next Post