RAISI JAKAYA KIKWETE AWASILI DODOMA KWA KIKAO


8E9U7527
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM  Ndugu  Abdulrahman Kinana muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mjini Dodoma ambapo ataongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM taifa.
8E9U7560
Vijana wa CCM wakimvika skafu Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete muda mfupi baada ya kuwasili mjini Dodoma kongoza kukao cha Halmashauri kuu ya CCM taifa
8E9U7572
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mjini Dodoma leo jioni(Picha na Freddy Maro)
Previous Post Next Post