
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Alexandre Leveque,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Cuba nchini Tanzania Jorge Luis Lopes,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Tags:
Politics