Meneja uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akitangaza washindi wa promosheni ya Amka millionea kwa mwenzi wa Februari ambapo wateja 40 wameamka mamilione, kulia ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde
promosheni hiyo kwa mwezi huu wa pili
Meneja uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa promosheni ya Amka millionea mara baada ya kujaza fomu za uhakiki wa ushindi wa promosheni hiyo.
………………………………………………………………..
· Hawa ni washindi wa Amka Millionea wa tarehe 1 hadi 4 ya mwenzi wa February 2013
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza washindi wa promosheni ya Amka millionea na kuwazawadia wateja wake mamilioni ya pesa taslimu.
Akiwataja washindi hao wakati wa hafla fupi ya utambulisho iliyofanyika Airtel meneja uhusiano wa Airtel Jackson mmbanso alisema “promosheni inaendelea hivyo bado waeja endleeeni kushiriki, jinsi ya kushiriki Tuma memdo SHINDA au MILIONEA kwenda namba 15595
Kuna zaidi ya ,ilioni 150 zimebaki kwaajili ya wateja kujishindia hadi itakapofika mwisho wa promosheni hii.
Promosheni ya amkamilionea leo tunawatangaza washindi wa dar es salaam wa droo ya jana ambao ni Emmanuel Johnson Mndeme, Salima Mzee Hassan, Jamali Mohammed Kahema, Veronica Rogarian Mrema, EliHuruma Tamilwai Kihiyo, Dini Kaikai Saidi, Simon Revocatus Siyantemi, Nikatus Malimi Francis, Joseph James Nguruko, Neno Kamilifu Ntetema, Adnan Ayub Khan, Beartha Byabato Nshekanabo, Salum Lenjima Mshindo, Florence Josephine Mwahali na Said Shabani Wamba
Wengine walioibuka washindi kutoka mikoani ni Novatus Lenard Majura kutoka mkoa wa Kagera, AbdulAbbas Hatibu Joshua, Frederick Nelson Shirima, Joseph Peter Bombo, Sapuro Lemkishoi Mollel, Gadi Paul Shami kutoka Arusha , wengine ni Zena Mohammed Kilongo na Juma Julius Milaji kutoka Tabora, Gervas Bryson Kaiba, Ester Samson Makubo, Dickson Msenda Kamla kutoka Mwanza, Joseph Raphael Malya, Nicodemus Bandaja Kisahan kutoka Kilimanjaro, Ramadhani Chande Mkwango na Fabian Kulwa Nkwabi kutoka Lindi, Christa Masudi Ng’uso kutoka Mtwara Zaituni Juma Luena kutoka Iringa, Yahya Issa Nasoro na Rajab Hassan Mapezi kutoka Tanga, Anna Steven Mtuka kutoka Rukwa, Dominic Gerald Ndimbo kutoka Ruvuma, Maria Leonsi Gilo kutoka Manyara, Jacob Filemon Kashililika kutoka Mbeya, Paulo Thomas Tungu Zina kutoka Shinyanga na mwisho ni Alex Emmanuel Mbugi kutoka Morogoro
Hii ni maalum kwaajili ya wateja wote wa Airtel nchi nzima hivyo tunawashauri wale wote ambao ni wateja wa Airtel au wanatamani kuijiunga na Airtel wahamie sasa ili wafurahie kuamka mamilionea