Shakira na Pique wapata mtoto wa kiume wamtangaza rasmi kuwa memba wa FC Barcelona



Staa wa muziki wa pop duniani mwenye asili ya Colombia Shakira na mumewe mchezaji wa timu ya Barcelona ya Hispania Gerard Pique wametangaza rasmi kupata mtoto wa kiume baada ya staa huyo kuwa mja mzito.
Wakizungumzia furaha yao wamesema mtoto huyo mwenye afya njema amepewa jina la Milan Pique Mebarak.
Previous Post Next Post