Pinda akutana na Wajumbe wa Baraza la Habari, wahariri na wamiliki wa vyombo vya Habari


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Habari, Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya  Habari (hawapo pichani) kwenye makazi yake jijini Dar es salaam (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Habari, Wamiliki na Wahariri wa Vyombo vya Habari wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao, kwenye makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakiagana na Mwenyekiti  Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi baada ya mazungumzo kati yake na   Wajumbe wa  Baraza la Habari, Wamiliki wa Vyombo vya Habari na Wahariri kwenye makazi yake , Oysterbay jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wahariri, Nevil Meena wa Mwananchi Communications na Abslom Kibanda wa New Habari wakati alipokutana na Wajumbe wa Baraza la habari, Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya habari, kwenye Mkazi yake jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Prince Bagenda wakati alipokutana na Wajumbe wa Baraza la Habari, Wamiliki na Wahariri  wa Vyombo vya Babari kwenye makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam.
Previous Post Next Post