RAISI JAKAYA MRISHO KIWETE AREJEA LEO KUTOKA ETHIOPIA



Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik Muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana usiku akitokea nchini Ethiopia ambapo aluhudhuria mkutano wa Wakuu wan chi za umoja wa Afrika(AU) uliofanyika jijini Addis Ababa (Picha na Freddy Maro)
Previous Post Next Post