MSANII WA BONGO FLAVOUR BOB UNIOR APATA MTOTO WA KIUME


Leo ni siku ya furaha kwa Rais wa Masharobaro baada ya kupata mtoto wa kiume.

Amempa jina la baba yake mzazi ambalo linafahamikakwa jina la Rummy Raheem Rummy a.k.a Triple R. Tunakutakia malezi bora na yenye hekima.

BOB JUNIOR AIKWA NA MKE WAKE

Previous Post Next Post

Popular Items