HomeNews MOTO WATEKETEZA KIWANDA CHA CHEMICOTEX MBEZI BEACH,AFRICANA DAR ES SALAAAM JANA JIONI byNews Tanzania -Thursday, January 31, 2013 0 Kiwanda cha ChemiCotex kilichopo huko Africana njia ya Tegeta jijini Dar es Salaam kinawaka moto muda huu, saa kumi na mbili jioni.Wadau wetu wakiwa katika eneo la tukio wametutumia picha hizi. Tags: News Uncategolized Facebook Twitter