Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwasili kwenye Ubalozi wa Tanzania DRC na kusalimiana na watendaji wa ubalozi huo baada ya kupokelewa na Kaimu Balozi Mhe. Hemed Mgaza (kushoto) Spika Makinda ameandamana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulizni na Usalama, Mhe. Mussa Azzan Zungu. Spika Makinda ameshauri kuwa wakati umefika kwa balozi zetu kuwezeshwa ili zijitegemee.
Tags:
Politics




