KARRIMA CARTER KWENYE MAZUNGUMZO YA KIJAMII NA SALIM'ASAS' IRINGA
byNews Tanzania-
0
Karrima Carter Kwenye Mazungumzo Ya Kijamii Na Salim'Asas' Iringa, jana Jumapili asubuhi. Salim ni Mfanyabiashara, mkulima wa shamba la mifugo na pia mdau wa masuala ya maendeleo ya Kijamii.