RAIS MSTAAFU KARUME AFUNGUA SKULI


karume 68f52
    Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.

 
karume2 21a84
     Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume akitia saini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuhudhuria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.

karume4 8ecea
 Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akitoa hotuba yake ya kufungua skuli ya Donge Muanda ilioko huko Kaskazini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi.karume5 fc7c3Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume katika picha ya pamoja na Maofisa mbali mbali katika hafla ya ufunguzi wa skuli ya Donge Muanda ilioko huko Kaskazini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi.
 
PICHA NA YUSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Previous Post Next Post

Popular Items