JOHN MAGUFULI AKIPIGA NGOMA NI KATIKA UZINDUZI WA DARAJA JIPYA!


ig5 1 97c45
Waziri wa Ujenzi,Dk. John Magufuli akipiga Ngoma aina ya Tumba sambamba na Mpiga Gita wa Bendi ya Msondo Ngoma wakati wa hafla fupi ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Daraja la Mbutu,Wilayani Igunga Mkoani Tabora leo.Uzinduzi huo umefanya na Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani).Picha na IKULU.
Previous Post Next Post

Popular Items