DKT.SHEIN AITUNUKU BENKI YA ZANZIBAR

IMG_7338
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein.akimkabidhi Cheti cha Shukurani Meneja wa Benki
ya Watu wa Zanzibar Limited,(PBZ) Juma Amour, kwa Mchango wa Benki
hiyo kuchangia Kombe la Mapinduzi Cup.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

IMG_7339 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein.akimkabidhi Cheti cha Shukurani Ibrahim Raza wa
Kampuni ya  Hassan & Sons, kwa Mchango wa Kampuni hiyo  kuchangia
Kombe la Mapinduzi Cup,hafla ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_7357
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Mapinduzi CUp na
Wahisani waliochangia Kombe la Mapinduzi CUP,wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa  akizungumza nao leo Ikulu Mjini Zanzibar,pia
Kukabidhi Vyeti vya Shukurani kwa michango mbali mbali
iliyotolewakufanikisha Mashindano hayo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_7368

IMG_7382
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa  akizungumza na Uongozi wa
Mapinduzi CUP ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kupata kupata nasaha
pamoja na kukabidhi vyeti vya Shukurani kwa wahisani waliochangia
kufanikisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi CUP.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_7389
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Wizara
ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Wahisani waliochangia Kombe
la Mapinduzi CUP,walipofika ikulu kwa kupewa Shukurani kwa michango
yao leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Previous Post Next Post