Meneja Bidhaa wa Tigo Bulla Boma akizungumza na waandishi wa habari na kusema katika msimu huu wa sikukuu Tigo inawapa wateja wake ofa kabambe ya Tigo Xtreme Pack itakayowezesha kupiga simu kwa mafariki, wapendwa, na wafanyabiashara katika nchi za UK, USA, Canada, India, Hong Kong, na China kwa dakika 5 kwa Tsh 150 tu, na kuwa kifurushi hicho kitadumu kwa saa 24. Kulia ni Tuli Mwaikenda.
Tags:
Business