Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru
(katikati) akizungumza na wafanyakazi na familia zao katika sherehe za
Siku ya Wanafamilia ya benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi. Wengine
ni viongozi wa ngazi za juu wa benki hiyo.
(katikati) akizungumza na wafanyakazi na familia zao katika sherehe za
Siku ya Wanafamilia ya benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi. Wengine
ni viongozi wa ngazi za juu wa benki hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuruakiwania mpira pamoja na mfanyakazi wa benki hiyo, katika sherehe ya
Siku ya Wanafamilia wa benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi.
Wafanyakazi wa Benki ya NBC Tanzania wakishindana kuvuta kamba ilikumpata mshindi katika sherehe ya Siku ya Wanafamilia wa benki hiyo
jijini Dar es Salaam juzi.
Watoto wa wafanyakazi wa Benki ya NBC Tanzania wakishindanakufukuza kuku ili kumpata mshindi katika sherehe ya Siku ya
Wanafamilia wa benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi.
Wafanyakazi na familia zao wakiselebuka katika sherehe za Siku yaWanafamilia wa NBC jijini Dar es Salaam juzi.
Tags:
Entertainment