HAYA NDIYO MAGAZETI YA LEO SIKU DESEMBA 24, 2012



Magazeti ya leo Jumatatu Desemba 24, 2012. Magazeti yaleo kila moja limebeba habari yake ikiwa na Uzito tofauti na gazeti lingine.Habari ambazo zinaonekana kutawala baadhi ya Magajapo zikiwa na Uzito tofauti ni ile ya Lema kulamba Mamilioni Bungeni na Ofisa wa TAKUKURU aliyempiga risasi mwenzake na Kumtoa uhai.







Previous Post Next Post