Meneja wa Kinywaji cha Redds Original Bi. Victoria Kimaro (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza rasmi zawadi kwa washindi wa Fainali za Redds Miss TZ 2012 mashindano yatakayofanyika tarehe 3 Novemba 2012 katika Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl (Ubungo Plaza) jijini Dar es Salaam yatakayo shirikisha warembo 30 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania. Kulia ni Mkuu wa Itifaki Kamati ya Miss Tanzania Bw. Albert Makoye.