Wolper: Uzuri wangu ni wa asili, make –up ainifanyi kuwa mzuri

Muigizaji katika tasnia ya filamu Tanzania, Jackline Wolper, amesema, uzuri alionao hauchangiwi na make –up kama ilivyo kwa wasanii wengi wa kike hapa nchini.



Mwanadada huyo alidai kuwa mara nyingi amekuwa akipaka make-up ili kukidhi haja ya mashanbiki wake ambao wanapenda kumwona akiwa katika hali hiyo.

Kumekuwa na mjadala kuwa mwanadada huyo hutumia muda mwingi kujiongezea urembo. kitu ambacho yeye mwenyewe amekikanusha vibaya
Previous Post Next Post

Popular Items