Picha: Serenegti Fiesta 2014 Ni Shidahhh,T.I , Davido, Waje Watoa Burudani waaacha historia Bongo

Kama insi wasanii wa kimataifa walivyoahid jana kwenye mkutano wao na waandishi wa habari, kwamba watatoa burudani ya kukatra na shoka na ndivyo walivyofanya, T.I , Davido, Victoria Kimani, Waje,hao ndio waliokuwa wasanii wa kimataifa waliofika kuhitimisha tamasha la Serenegti Fiesta 2014 katika mkoa wa Dar ambapo tamasha hilo lilifanyika pale Leaders Club katika siku ya jan 18 Agust wakisindikizwa na wasanii kutoka hapa bongo



Hizi ni picha  za show hiyo































Previous Post Next Post