Picha: Kelly Rowland apiga picha za utupu akiwa na mimba kwaajili ya jarida la Elle (18+)

Mwanadada Kelly Rowland ame-pose mbele ya camera akiwa mtupu na kupigwa picha kwaajili ya toleo jipya la jarida la ELLE.


Kelly ambaye anatarajia kujifungua hivi karibuni amefanya kile ambacho hufanywa na mastaa wengi wa Marekani wanapokaribia kujifungua, ambao hupiga picha za utupu kuonesha tumbo la ujauzito. Picha hizo zimepigwa pamoja na zingine alizovaa nguo.



Katika sehemu ya mahojiano na jarida hilo, Kelly ambaye May 9,2014 alifunga ndoa na Tim Witherspoon, amezungumzia mambo mbalimbali yakiwemo safari yake ya kuwa mama (anatarajia kujifungua wiki chache zijazo), na jinsi alivyopanga kumlea mtoto wake huku aki balance ndoa na kazi.

Na alipoulizwa kwanini ameamua kupiga picha za utupu akiwa mjamzito hiki ndicho alichokisema:

“Some pregnant women get flack for nude photos. Why was it important to you to include those in the shoot?

I don’t know why they would get flack. It’s really—I won’t say amazing—it’s Godmazing [laughs] watching your body carry a human. I took a birthing class and I was amazed by all the things this woman was saying to me about birthing and what the body does naturally. Why wouldn’t you want to celebrate that? The body should be celebrated.”
Previous Post Next Post