Orodha ya Maraisi 9 Matajiri Afrika 2014

Pengine ulikuwa unatamani sana kwa muda mrefu kuwafahamu maraisi wenye cash ya kutosha kwa Afrika kwani mara nyingi tumeshazoea kusika list za wana hip hop Matajiri katika Nchi za wenzetu.

Sasa mtandao wa Richestlifestyle.com umetoa orodha yake ya Marais na Wafalme 9 matajiri zaidi wa kiafrica 2014 (Richest African Presidents 2014). Anayeongoza kwenye nafasi ya kwanza ni Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos mwenye utajiri unaofikia $20 Billion.



Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ndiye Rais pekee wa Afrika mashariki kwenye orodha hiyo akiwa kwenye nafasi ya nne kwa utajiri unaofikia $500 Million.

Tazama orodha kamili hapa;

9) Robert Mugabe – Net Worth: $10 Million
Country: Zimbabwe, Years in Power: 26

8) Idriss Deby – Net Worth: $50 Million
Country: Chad, Years in Power: 23

6) King Mswati III – Net Worth: $100 Million (tie with president Jonathan)
Country: Swaziland, Years in Power: 28

5) Paul Biya – Net Worth: $200 Million Country: Cameroon, Years in Power: 31

4) Uhuru Kenyatta – Net Worth: $500 Million
Country: Kenya, Years in Power: 1

3) Teodoro Obiang Nguema Mbasogo – $600 Million
Country: Equatorial Guinea, Years in Power: 34

2) Mohammed VI of Morocco – Net Worth: $2.5 Billion
Country: Morocco, Years in Power: 15

1) Jose Eduardo dos Santos – Net Worth: $20 Billion
Country: Angola, Years in Power: 34

Source: Richestlifestyle.com
Previous Post Next Post