Music: Wiz Khalifa f/ Feature - Amber Rose & Ciara Shit

Ma rapper Wiz Khalifa na Future wameingia studio na kurekodi wimbo wa pamoja wakiwadiss waliokua wake zao ( Amber na Ciara ) Future na Ciara waliamua kuvunja ndoa yao miezi michache iliyopita, huku Wiz Khalifa na Amber Rose wakiamua kuivunja ndoa ya wiki chache zilizopita.




Wimbo huo ambayo imeachiwa jana usiku kupitia mtandao wa Youtube na Prodyuza Mike Wil ambaye ndio aliyetengeneza ngoma hiyo. Wimbo huo uliopewa jina la ‘P**sy Overrated na lengo kubwa likiwa ni kuwaponda Ambaer na Ciara. Katika moja ya mistari ya nyimbo hiyo Wiz alimponda Amber kwa kusema ” Rich ni**a get you/ he’ll never put nothing above you / every time I see you I don’t never want nothing from you ” huku Future akimponda Ciara kwa kusema ” You supposed to f*ck me like a star/ girl you know you faking / yo pu**y overrated!”




Unaweza usikiliza wimbo huu hapa chini. Tungependa kupata maoni yako kuhusu kitendo kilichofanywa na Future na wiz

Previous Post Next Post