Diamond Platnumz kuwania tuzo hizi zingine Kubwa Nigeria, kushindanishwa na Davido, Wizkid, 2Face, mafikizolo na wasanii wengine

Superstar wa BongoFlava Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa zinazofahamika kama ‘THE HEADIES 2014’, ambazo ni tuzo kubwa nchini Nigeria.




Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa kuwania kipengele cha Msanii Bora wa Afrika (Best African Arstist) ambacho kinawaniwa na wasanii wa nje ya Nigeria. Katika kipengele hicho anashindana na Mafikizolo, Sarkodie na R2Bees.





Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika October 25, 2014.

Wasanii wengine wa Nigeria waliotajwa kuwania tuzo hizo katika vipengele tofauti ni pamoja na Davido, Wizkid, 2Face, Tiwa Savage, KCee, Burna Boy na wengine.

Bofya hapa kupata orodha kamili

Maelezo zaidi Kuhusu Tuzo za THE HEADIES

Also referred to as Hip Hop world awards; The Headies since debuting in 2006 has become one of the most anticipated events year in year out. Today, the Awards ceremony is the biggest award ceremony in the country. Within the space of six years it has cemented itself as the authentic awards’ brand and has continued to deliver an annual awards ceremony that has never failed to dazzle, inspire, excite and entertain. In Nigeria’s entertainment calendar, the date for the Hip Hop World Awards is one of the most anticipated, if not the most important.

Conceived to reward artistes with genuine artistic talent in a developing music industry, The Headies debuted on March 10, 2006 at the MUSON Centre Onikan, Lagos. Tagged “The revolution is here”, the event was hosted by Darey Art Alade and left many spell bound and dazzled by the sheer brilliance and glamour of the event. It was the first time that an awards ceremony of international standard was organized in its entirety by Nigerians. Everything about the awards was a first; from the limousine rides, the red carpet, the stage to the well choreographed and rehearsed performances.
Previous Post Next Post